TZ
Vipodozi_qualit...
Palmers skin success face milk hii ni lotion nzuri. kwa kuondoa madoa na rough skin na inaondoa madoa ya mwili pia au vile vichunusi vya. mgongoni na kifuani pia inangarishaa vizuri
Seller