Functions.
⌚inakuba simu zote android & (ios) yani iphone
⌚unaweza kupiga na kupokea simu baada ya kuunganisha na simu yako
⌚inasupport notification zote za simu kama whatsapp,facebook,instagram& sms
⌚ina pima heart rate,bloodpressure, calories,blood oyxgen
⌚unaweza kubadilisha mikanda
⌚unaweza kuweka picha yako kwenye saa
⌚ni saa boraa kwa mazoezi (physical activities)
⌚unaweza kuweka password
⌚ina games
⌚ni fullscreen
⌚ina unganishwa kwa bluetooth na app yake
⌚ina hesabu masaa ulio lala
⌚ina hesabu hatua ulizotembea au kukimbia wakati wa mazoezi
⌚unaweza kuplay music ulio kwenye simu kwa kutumia saa yako
⌚inakaa na chaji siku nzima au zaid kulingana na matumizi yako.