AGED 3year up to 7yrs
Blocks hizi ni kubwa zinamsaidia mtoto kujua kuandika na kusoma
Mtoto atapanga herufi za maneno mbalimbali kama hapo mm nimepanga herufi za dtp_kids_store
Blocks hizi ujazo wake ni mkubwa LARGE SIZE zinakuwa nyingi na pia kuna SMALL SIZE hizi zinakuwa chache